2 Chronicles 1:16-17
16Farasi wa Sulemani waliletwa kutoka Misri na kutoka Kue. ▼▼ Yaani Kilikia.
Wafanyabiashara wa mfalme waliwanunua kutoka Kue. 17 bWaliagiza magari kutoka Misri kwa bei ya shekeli 600 ▼▼ Shekeli 600 za fedha ni sawa na kilo 7.
za fedha, na farasi kwa shekeli 150. ▼▼ Shekeli 150 ni sawa na kilo 1.7.
Pia waliwauza nje kwa wafalme wote wa Wahiti na wa Waaramu.
Copyright information for
SwhKC